Sifa Lyrics

Sina Wa Kutegemea by Essence of Worship cover art

Essence of Worship - Sina Wa Kutegemea Lyrics

Artist:
Essence of Worship

Lyrics

Intro
(Spoken)
Zaburi 20:7
Hawa wanataja magari na hawa farasi
Bali sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu
(Some trust in chariots, and some in horses: but we will remember the name of the LORD our God)


Verse 1
Wao wanataja magari
Wao wanataja farasi
Eti mimi nina gari lake
Sijui kama mimi nina gari na nyumba
Na vitu vidogo vidogo tu
Lakini mimi ninataja jina la Yesu
Jina la Yesu


Chorus
Sina wa kutegemea
Ila wewe Yesu
Sina wa kutegemea
Ila wewe Yesu
Sina wa kutegemea
Ila wewe Yesu
Sina wa kutegemea
Ila wewe Yesu


Verse 2
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu
Ni nani? Eti ni nani?
Duniani hapa ni nani?
Wao wanataja magari
Wao wanataja farasi
Na vitu vidogo vidogo tu
Lakini mimi ninataja jina la Yesu


Chorus
Sina wa kutegemea
Ila wewe Yesu
Sina wa kutegemea
Ila wewe Yesu
Sina wa kutegemea
Ila wewe Yesu
Sina wa kutegemea
Ila wewe Yesu


Bridge
Nguvu zangu ni wewe
(My strength is You)
Nguvu zangu ni wewe
(My strength is You)
Uchumi wangu ni wewe
(My economy is You)
Uchumi wangu ni wewe
(My economy is You)
Afya yangu ni wewe
(My health is You)
Afya yangu ni wewe
(My health is You)


Outro
Sina wa kutegemea
Ila wewe Yesu
Sina wa kutegemea
Ila wewe Yesu


Video