Sifa Lyrics

Immanueli - Sifu Gospel Ministers by Sifa Voices cover art

Sifa Voices - Immanueli - Sifu Gospel Ministers Lyrics

Artist:
Sifa Voices

Lyrics

Verse 1
Naye julikane upo ee Mungu
Mungu wa Eliya, El-Shaddai
Mungu wa wajane na mayatima
Tunakuabudu


Chorus
Simba wa Yuda
Ukiinguruma maisha yetu
Tuko salama
Safari yetu
Tungepotea Imanueli
Aingekuwa uwepo wako
Aingekuwa neema yako
Ebenezeri Mungu wa kweli
Tunakushukuru


Verse 2
Ulivyokuwepo
Lazaro akafufuka
Ukakuwepo tena
Mwanamke akapona
Paulo na Sila gerezani
Ukawazuru milango ikafunguka
Hakuna linalokushinda Bwana
Wewe ni Mungu, Yahweh
Hakuna kama wewe


Chorus
Simba wa Yuda
Ukiinguruma maisha yetu
Tuko salama
Safari yetu
Tungepotea Imanueli
Aingekuwa uwepo wako
Aingekuwa neema yako
Ebenezeri Mungu wa kweli
Tunakushukuru


Bridge
Vitu vitapita, vitu vitatushinda
Shida, mauti, vitatuondolea
Tungekulipa nini
Kwa ulepo wako Bwana
Hatuna cha kulipa
Shukrani zetu kwako


Chorus
Simba wa Yuda
Ukiinguruma maisha yetu
Tuko salama
Safari yetu
Tungepotea Imanueli
Aingekuwa uwepo wako
Aingekuwa neema yako
Ebenezeri Mungu wa kweli
Tunakushukuru


Outro
Wewe ni Mungu
Hakika wewe ni Baba
Jehovah wewe ni Mungu
Hakika wewe ni Baba
Kwa vyote wewe ni Mungu
Hakika wewe ni Baba
Jehovah wewe ni Mungu
Hakika wewe ni Baba
Kwa vyote wewe ni Mungu
Hakika wewe ni Baba
Jehovah wewe ni Mungu
Hakika wewe ni Baba
Kwa vyote...


Video