Enda Nasi - Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi

'Audio Mp3 Preview Courtesy of iTunes listen on Itunes Music View on amazon

Tunaomba uwepo wako uende nasi
Ewe Bwana wa majeshi utusikie
Kama huendi nasi, hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi pekee yetu, enda nasi
Tu watu wa shingo ngumu tusamehe
Hatufai mbele zako, turehemu
Tusafishe ee Baba, tuonyeshe uso wako
Twahitaji neema yako, enda nasi

Tutavua mapambo yetu
Na vitu vyote vya thamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi

Tunaomba utuonyeshe njia zako
Kwa maana umetuita kwa jina
Twalilia Ee Bwana, utukufu na uso wako
Bila wewe tutashindwa, enda nasi

Tutavua mapambo yetu
Na vitu vyote vya thamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasiShare:
4 Comments

Maoni kuhusu wimbo: Enda Nasi - Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi

Comments / Song Reviews

Jane Adhiambo Love it so much. Real worship. Never dies
1 month ago
Martin It is a worship song of decades. Still fresh and inspiring 7 months ago
Nimo A real worship song..brings me so close to the Almighty God.... 8 months ago
Lameck Ndossy Huu wimbo umenibariki sana na I love it kweli ni wimbo unaotutia nguvu sana na kuifanya mioyo kuona uwepo wa mungu,hongera sana mtunzi wa wimbo huu. 9 months ago

Share your understanding & meaning of this song


Reuben Kigame

@reuben-kigame

Bio

View all songs, albums & biography of Reuben Kigame

View Profile

Bible Verses for Enda Nasi - Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi

Exodus 33 : 15

Naye akamwambia, Uso wako usipokwenda pamoja nami, usituchukue kutoka hapa.

Mp3 Songs & Download from iTunes

listen on Itunes Music

Sifa Lyrics

Social Links