Neema Gospel Choir + AICT Chang'ombe - Nuru ya Kweli Lyrics
- Song Title: Nuru Ya Kweli
- Album: Nikubali Yesu
- Artist: Neema Gospel Choir
- Released On: 08 Jan 2022
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music

Nuru ya kweli,
The true light
Nuru ya wote,
The light of all
Waaminio ni Yesu,
who believe is Jesus
Nuru kwa wote wamtegemeao,Bwana, Bwana.
the light for all who depend upon the Lord
Tumefunuliwa Nuru ya Kweli,
The true light is revealed for us
Tumefunuliwa Nuru ya Haki,
The righteous light is revealed for us
Tumefunuliwa ukombozi wetu,
Our redemption is revealled
Bwana ni Nuru ya Kweli.
The true light is the Lord
Tumefunuliwa Wokovu wetu,
Our salvation is revealled
Tumefunuliwa Amani,
Peace has been revealled for us
Tumefunuliwa Uponyaji wetu,
Our healing has been revealled
Bwana ni Nuru ya Kweli.
The Lord is the true light
Mwanadamu wee tafakari kwa makini upendo wa Mungu kwetu
think about the love of God to us
Sio kitu cha kawaida
it is not just an ordinary thing
Mara ngapi tunakosa,
how many times we commit sin
Atusamehe Bwana Mungu wetu
our Lord God forgives us
Na kurudisha tena tumaini kwa upya.
and restore our hope
Kwake jana yetu si kitu
our past is nothing to him to consider
Anautazama mwisho wetu
he considers our destiny
Na kusahau mabaya
and forget the evils
Tuliyoyatenda mwanzo
we did in the past
Airejeza furaha yetu
he restores our joy
na Ujana wetu kama tai
and our youth as eagles
Kweli Yesu ni nuru ya kweli
Jesus is the true light for real
Nuru inang’aa duniani kote
the light is shining all over the world
Wala giza halitaiweza
and the darkness shall not comprehend it
Nuru imekuwa uzima wetu
the light is our life now
Tul’o ikubali itumulikie
we have accepted it to shine to us
Nuru imekua ukombozi kwa mwanadmu
the light is a redemption to the human being
Alipopotelea gizani.
as he was wandered in the darkness
Ndani yake umo ushindi wetu
our victory is in the light
Tunashinda,
we win
Tunashinda
we win
Haleluya
hallelujah
Tumeshinda kwa Imani,
we have won by faith
Kwa kuja kwake Yesu
and for the coming of Jesus
Nuru yetu, Ukombozi wetu.
our Light, our redemption
Haleluya
Hallelujah
Amen
Amen
Tumeponywa naye Yesu,
We are healed by Jesus
Tuko Huru, Tuko huru,
we are set free
Ukombozi tumepata,
we've got our redemption
Haleluya, Haleluya
Halellujah