Sifa Lyrics

Moyo by Wapendwa Muziki cover art

Wapendwa Muziki - Moyo Lyrics

Artist:
Wapendwa Muziki
Album:
MOYO - Single
Official Release:
26 May 2026

Lyrics

Intro


Furaha kama hii
Ingepata wapi?
Fura kama hii
Ingepata wapi?
Baraka kama hizi mimi
Ingepata wapi?
Baraka kama hizi mimi
Ingepata wapi?
Ah!


Chorus


Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Ah!
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo


Verse 1


Fikira zangu zikifika mwisho
Bwana hapo ndio nanzia
Fikira zangu zikifika mwisho
Bwana hapo ndio nanzia
Ujanja wangu ukifika mwisho
Bwana hapo ndio nanzia
Ujanja wangu ukifika mwisho
Bwana hapo ndio nanzia


Pre-Chorus (x2)


Hata kama, nikikwama
Ninajua kwako mimi ni kusawa
Ninajua kwako mimi sitozama
Sitozama, sitozama, sitozama


Chorus (Repeat)


Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Ah!
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo


Verse 2


Sijapona, mwingine
Kama wewe bwana


Pre-Chorus (Repeat) (x2)


Hata kama, nikikwama
Ninajua kwako mimi ni kusawa
Ninajua kwako mimi sitozama
Sitozama, sitozama, sitozama


Chorus (Repeat)


Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Ah!
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo


Bridge


Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Ah!
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo


Outro


Ah!
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo
Moyo, bwana mimi nakupa wangu moyo


Video

Meaning & Inspiration

“Moyo” by Wapendwa Muziki is a Swahili worship song whose title means “heart.” The refrain is a plain offering: “Bwana, mimi nakupa wangu moyo,” meaning “Lord, I give You my heart.” The song opens with a question about where joy and blessings like these could be found, which sets the tone of thanks.

The verse says that when the singer’s thoughts reach their end, and when his own cleverness runs out, that is where he begins with the Lord. The pre-chorus continues: even when stuck, he knows that with God he is safe and will not sink, a line repeated several times. A short verse adds that there is no one else like the Lord.

The themes are close to Proverbs 3:5-6, Psalm 55:22 and Matthew 14:30-31, on trusting beyond one’s own understanding, casting burdens on the Lord and the rescue of a sinking Peter. The song is simple, repeated and easy for a congregation to join.

Related Scripture