Lyrics
[Intro]
(Mungu ametenda)
Ametenda kwa aliyekuwa na saratani
Ametenda kwa aliyekuwa mashakani
Ametenda kwa aliyekuwa nyumbani na zaidi
Kwa aliyekuwa na shida
(Mungu ametenda)
Ametenda Mungu
Ametenda
Ametenda Mungu
[Verse 1]
Finally, He has done it for me
Kama uliniona jana, I'm sorry
Something has yesterday, what can you see?
Sasa unaniona tabasamu usoni
[Chorus]
Ile mambo ya kulia, mimi mwenzenu nimeiacha
Mambo yamebadilika, nimefika
Kweli kwa Mungu hakuna kubahatisha
Natembea kwa ishara na miujiza
[Post-Chorus]
(Mungu ametenda)
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda Mungu
[Verse 2]
Mambo yangu yamebadilika sana
Malalamiko mimi nimeiacha
Kinywani mwangu nimejawa na shukrani
Nisipokusifu wewe, nitamsifu nani?
Ona vile umefanyia, Baba asante
Nisipokusifu wewe, nitamsifu nani?
[Chorus]
Ile mambo ya kulia, mimi mwenzenu nimeiacha
Mambo yamebadilika, nimefika
Kweli kwa Mungu hakuna kubahatisha
Natembea kwa ishara na miujiza
[Post-Chorus]
(Mungu ametenda)
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda Mungu
[Bridge]
Ametenda, ametenda wewe
Ametenda, ametenda wewe
Ametenda, ametenda wewe
Ametenda, ametenda wewe
Ametenda, ametenda wewe
Ametenda, ametenda wewe
Ametenda, ametenda wewe
Ametenda, ametenda Mungu
[Outro]
(Mungu ametenda)
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda
Mungu ametenda Mungu