Sifa Lyrics

Baba_Eh (jambo Gani Hilo Usiloweza) by Jeremy Jeradi cover art

Jeremy Jeradi - Baba_Eh (jambo Gani Hilo Usiloweza) Lyrics

Artist:
Jeremy Jeradi
Album:
Baba Eh - Single
Official Release:
05 Feb 2025

Lyrics

Verse 1
Baba Eh, Baba Eh jambo Gani Hilo Usiloweza


Wawapandisha waliochini
wawa bariki mayatima jambo gani Hilo Usiloweza
wawapa matasa watoto Magonjwa yaliyo kataa kupona Wa ponya jambo gani Hilo Usiloweza, Baba


Chorus
Babae Eh, Baba eh jambo gani Hilo Usiloweza
Babae Eh, Baba eh jambo gani Hilo Usiloweza
Babae Eh, Baba eh jambo gani Hilo Usiloweza
Babae Eh, Baba eh jambo gani Hilo Usiloweza


Verse 2
Yusufu na ndugu zake walipoona ndoto zake waka muuza kwa Wa ishmaeli
hawakujuwa wamemuongoza Kwenye ndoto zake
Bwana zikatimia ukamfanya mkuu Baba
Baba Eh Baba eh, waponya Magonjwa yaliyo shindwa kuponywa na madaktari baba
Baba Eeh Baba Eh jambo Gani Hilo Usiloweza, Baba


Chorus
Baba Eh Baba Eh jambo Gani Hilo Usiloweza
Baba Eh Baba eh jambo gani Hilo Usiloweza


Video