Lyrics
Sija sahau baba, umbali umenitoa
Bila wewe unga Yesu
Nisinge nisimama
Sija sahau baba, umbali umenitoa
Bila wewe unga Yesu
Nisinge nisimama
Kwa macho ya rehema
Yesu ulinitazama
Uliniponya vidonda vyangu
Uka yavuta machozi yangu
Kwa macho ya rehema
Yesu ulinitazama
Uliniponya vidonda vyangu
Uka yavuta machozi yangu
Sija sahau baba, umbali umenitoa
Bila wewe unga Yesu
Nisinge nisimama
Ni wewe ulinipiga nikawa
Adui zangu walipoinuka
Uliniponya vidonda vyangu
Uka yavuta machozi yangu
Sija sahau baba, umbali umenitoa
Bila wewe unga Yesu
Nisinge nisimama
Sija sahau baba, umbali umenitoa
Bila wewe unga Yesu
Nisinge nisimama
Sija sahau baba, umbali umenitoa
Bila wewe unga Yesu
Nisinge nisimama