Lyrics
(Nimekutana na wewe Yesu)
(Nimekuona Elohim ukitenda)
Nimekutana na wewe Yesu
Nimekuona Elohim ukitenda
Nimekutana na wewe Yesu
Nimekuona Elohim ukitenda
Nimekutana na wewe Yesu
Nimekuona Elohim ukitenda
Sijawahi ona upendo wa namna hii
Tangu nikupate Yesu, nikapata raha
Sijawahi ona anayetibu kama wewe
Sijawahi ona anayenielewa kama wewe
Nimekuona kwa huduma yangu
Nimekuona kwa jamaa langu
Nimekuona kwa kazi yangu
Nimekuona ukitenda
Nimekuona uki badilisha
Nimekuona ukiinuwa
Nimekutana na wewe Yesu
Nimekuona Elohim ukitenda
Hallelujah, Hallelujah
Usifiwe!
Hallelujah, Hallelujah
Nakupenda