Lyrics
Chorus
Wakufanana nawe sijaona
Wakulinganishwa nawe Baba hakuna...
Wema wako ni mwangaza wa asubui,
Mawazo yako kwetu ni mema
1 Sentence
Wakufanana Nawe sijaona, mwenye nguvu kama wewe... Baba hakuna,
unafanya mambo ya ajabu,
unafanya mambo yaku shangaza, mwenye uwezo kama wewe, Baba hakuna
watangaza mwisho kabla ya Mwanzo, hakuna linalo kushinda Yesu, mwenye uwezo kama wewe Baba hakuna...
Chorus
Wakufanana nawe sijaona wakulinganishwa nawe Baba hakuna
Wema wako ni mwangaza wa asubui, mawazo yako, kwetu ni mema
Wema wako ni mwangaza wa asubui, mawazo yako, kwetu ni mema
2 Sentence (Bridge)
Nimeona, nuru yako gizani
Nimeona nuru yako gizani
Nimeona, nuru yako gizani
Nimeona nuru yako gizani
Wema wako, ni mwangaza wa Asubui
Mawazo yako kwetu ni mema...
Wakufanana nawe sijaona, wakulinganishwa nawe Baba Hakuna...
Wakufanana nawe sijaona, wakulinganishwa nawe Baba Hakuna...