Sifa Lyrics

Atamaliza by Eve Nyasha Ngoloma cover art

Eve Nyasha Ngoloma - Atamaliza Lyrics

Artist:
Eve Nyasha Ngoloma
Album:
Atamaliza - Single
Official Release:
26 Dec 2022

Lyrics

Verse 1
Nimekuja na habari njema
Ninakukumbusha hadithi ya mtu mmoja
Alimwomba Bwana kama angempa baraka
Ya mtoto mmoja aweze kuridhika


Alingoja sana akimkumbusha Baba
Naye mke wake alikata tamaa
Malaika wa Bwana alipotumwa kuwaeleza
Kua maombi yao yamesha jibiwa


Sarah alicheka, alicheka sana
Kwani alishangaa, "Jamani nyinyi mnaniona?
Nilivyozeeka, haitowezekana"
Ye hakujua kua Mungu alishapanga
Aliyeanza Kazi nzuri kamaliza


Chorus
Aliyeanza kazi nzuri atamaliza
Aliyeanza kazi nzuri atamaliza
Aliyeanza kazi nzuri atamaliza
Aliyeanza kazi nzuri atamaliza


Verse 2
Nate utacheka, usikate tam
Umuishie Bwana hata unapojaribiwa
Usimame imara, amini ye atatenda
Mshindani wake amesha kushindania
Aliyeanza kazi nuri atamaliza


Chorus
Aliyeanza kazi nzuri atamaliza
Aliyeanza kazi nzuri atamaliza
Aliyeanza kazi nzuri atamaliza
Aliyeanza kazi nzuri atamaliza


Bridge
Tumaini langu liko kwako
Tumaini langu liko kwako
Tumaini langu liko kwako
Kwako nasimama


Video