Sifa Lyrics

Jionyeshe by Eve Nyasha Ngoloma cover art

Eve Nyasha Ngoloma - Jionyeshe Lyrics

Artist:
Eve Nyasha Ngoloma

Lyrics

[Verse 1]

(Lead) Ninapokuwa taabani, uwe karibu nami

(Choir) Ndio, Amina, Iwe hivyo!

(Lead) Jina la Mungu wa Yakobo liwe kinga kwangu

(Choir) Ndio, Amina, Iwe hivyo!

(Lead) Unitumie msaada kutoka hekaluni mwako

(Choir) Ndio, Amina, Iwe hivyo!

(Lead) Yafanikishe mambo yangu, nijalie haja yangu ya moyo

(Choir) Ndio, Amina, Iwe hivyo!




[Pre-Chorus]

Naomba, naomba

Naomba Bwana, sikia sala

Yangu Bwana

Naomba, naomba

Naomba Bwana, sikia sala

Yangu Bwana




[Chorus]

Wacha waone nguvu zako (Ooh)

Wacha waone nguvu zako

Wacha waone nguvu zako (Ooh)

Wacha waone nguvu zako


(Lead) Wacha waone

(Choir) Wacha waone nguvu zako

(Lead) Wacha waone

(Choir) Wacha waone nguvu zako

(Lead) Wacha waone

(Choir) Wacha waone nguvu zako




[Verse 2]

(Lead) Mkono wako na ukae juu yangu, nileweshe na Roho

(Choir) Ndio, Amina, Iwe hivyo!

(Lead) Na ndani yako mi nikae, matunda mi nizae

(Choir) Ndio, Amina, Iwe hivyo!

(Lead) Maisha yangu nayo iwe kielelezo, nitumie kama mfano

(Choir) Ndio, Amina, Iwe hivyo!

(Lead) Ishara nazo zinifuate, wote wakujue

(Choir) Ndio, Amina, Iwe hivyo!




[Pre-Chorus]

Naomba, naomba

Naomba Bwana, sikia sala

Yangu Bwana

Naomba, naomba

Naomba Bwana, sikia sala

Yangu Bwana




[Chorus]

Wacha waone nguvu zako

Wacha waone nguvu zako

Wacha waone nguvu zako

Wacha waone nguvu zako

(Wakiona wakuone...)




[Bridge]

Nipokee vipaji vipya vya kiroho vya kutumika,

Navyo viwe vya faida kwa wote wanaohudumiwa,

Neno nalo litendeke, niongee kwa ndimi mpya, nitafsiri lugha,

Imani ninayo pia unabii...

Tuipambanie leo!




[Vamp / Outro]

Jionyeshe, Jionyeshe

Ee Bwana, Jionyeshe

Jionyeshe, Jionyeshe

Ee Yesu, Jionyeshe


Wacha niwe mfano wa kutumika na Wewe...

Jionyeshe, Jionyeshe!

Wacha waone nguvu zako!


Video