Sifa Lyrics

Unanijua by Mt. Secilia Makuburi cover art

Mt. Secilia Makuburi - Unanijua Lyrics

Artist:
Mt. Secilia Makuburi

Lyrics

[Chorus]
Wewe eh Mungu
Nani alinitunza?
Mimi na nyumba yangu
Nani aliyetajua?
Halinichomoza
Mimi ni nani?
Toka toka tu
Mimi ni nani?
Mwamayangu eh na
Unanikiribia neema baraka


[Verse 1]
Umenileta
Nikutumikie
Na nyumba yangu
Mimi
Eh Mungu naye
Umejiuliza
Hivi mimi ni nani
Ukanileta?
Na kumpasifa zote


[Chorus]
Wewe eh Mungu
Nani alinitunza?
Mimi na nyumba yangu
Nani aliyetajua?
Halinichomoza
Mimi ni nani?
Toka toka tu
Mimi ni nani?
Mwamayangu eh na
Unanikiribia neema baraka


[Verse 2]
Siku zote
Ninakujitazama
Ninauona
Wewewaa
Wote
Naunajua
Wewe ndio unanipenda
Wewe ndio nini nini
Nitumikie
Bi oh oh
Mwingine hawakati
Mwenye Mungu wangu
Unanitosha


[Chorus]
Wewe eh Mungu
Nani alinitunza?
Mimi na nyumba yangu
Nani aliyetajua?
Halinichomoza
Mimi ni nani?
Toka toka tu
Mimi ni nani?
Mwamayangu eh na
Unanikiribia neema baraka


[Bridge]
Nitamtumikia Bwana
Mimi na nyumba yangu
Nitamtumikia Bwana
Mimi na nyumba yangu
Nitamtumikia Bwana
Mimi na nyumba yangu
Nitamtumikia Bwana
Mimi na nyumba yangu


Video