Lyrics
Verse 1
Umejawa nazo nguvu, umeketi enzi
Jina lako lashangaza, lastajabisha eee Yesu
Umejawa nazo nguvu, umeketi enzi
Jina lako lashangaza, lastajabisha eee Yesu
Chorus
Umejawa nazo nguvu, umeketi enzi
Jina lako lashangaza, lastajabisha eee Yesu
Umejawa nazo nguvu, umeketi enzi
Jina lako lashangaza, lastajabisha eee Yesu
Verse 2
Ila Yesu, nimekunyoshea mikono
Unatisha, haulinganishiki hata iweje

Bridge
Umetamalaki, umetamalaki
Uko juu sana ya miungu yote
Jina lako, halilingani na miungu mingine
Wahamisha milima, wapasua bahari
Wafufua, wafufua
Wahamisha milima, wapasua bahari
Wafufua, wafufua
Wahamisha milima, wapasua bahari
Wafufua, wafufua
Wahamisha milima, wapasua bahari
Wafufua, wafufua
Outro