Henrick Mruma - Nataka Nitulie Lyrics

Contents:

Nataka Nitulie Lyrics

Nikikuamini unipee majibu
Na nikikusubiri unipee majibu
Nataka nitulie Nikikuamini 
Nikikusubiri unipee majibu
Kwamajira yako

Nataka nitulie ,Nikikuamini
Nikikusubiri nipate majibuu
Kwa majira yako nataka 
Nitulie Nikikuamini nikikusubiri
Unipee majibu kwa majira yako
Ninataka nitulie Nikikuamini 
Nikikusubiri unipee majibuu
Kwa majira yako
Nitakusubiri wakati wako 
Wa utulivu maana nakuamini 
Nitakungojea nitapata nguvu

Nitakaa kwa majliwaa
Wewe niye Yesu Mwaminifu 
Hutaniacha Eeeee
We Ni Yesu 
Kamilifu Mwaminifu wewe Ni mfariji hutaniacha
Wewe Ni Yesu Kamilifu Mwaminifu
Hutaniacha 

Yesu nikuamini 
Nikikuamini unipee majibu 
Nikikusubiri siku Unipee majibu 
Nikikutazama Unipee majibu
Siku zote nikikutegemea weee
Unipee majibu
 


Henrick Mruma Songs

Related Songs