Sifa Lyrics

Nikuabudu by Ali Mukhwana cover art

Ali Mukhwana - Nikuabudu Lyrics

Artist:
Ali Mukhwana

Lyrics

Hakuna Mungu mwingine 
Kama na wewe Yesu
Tunaliabudu jina lako mfalme


Sifa na maabudu, zote ni zako
Sifa na maabudu, zote ni zako


Wewe ni zaidi ya mshindi
Wewe ni zaidi ya mshindi
Tangu enzi unaitwa Mungu
Unaitwa Mungu mwema
Ni nani mwingine aliye kama wewe
Wewe bwana 


Sifa na maabudu, zote ni zako
Sifa na maabudu, zote ni zako


Hakuna kama wewe Yesu
Hakuna mwenye neema kama yako mfalme


Kwani mi ni nani unitunuku hivi baba
(Unitunuku hivi baba)
Umenipa uwezo wa kuona siku nyingine
Umenipa uhai bwana 
Mausia yako kaiweka sahihi


Sifa na maabudu, zote ni zako
Sifa na maabudu, zote ni zako


Katika majaribu Ayubu alishinda
Wana wa Israeli ukawashindania
Na mimi najua utanishindania
Yote unayopitia Mungu yuko pamoja na wewe


Kile nakuomba mpe sifa zote
Kwako Yesu


Sifa na maabudu, zote ni zako
Nakupa zote
Sifa na maabudu, zote ni zako
Nakupa zote bwana


Sifa na maabudu, zote ni zako
Sifa na maabudu, zote ni zako
Sifa na maabudu, zote ni zako
Sifa na maabudu, zote ni zako


Video