Guardian Angel - Roho Wako Lyrics

Lyrics

Mi nakiri kwa kinywa changu Kwanza bila roho wako mi ni bure, bure sana Mi nakiri kwa kinywa changu Kwanza bila roho wako mi ni bure, bure sana

Roho wako ananipa nguvu ya kufanya huduma Wakati mimi naishiwa nguvu ye ananisukuma Wanaodhani ni mimi mwenyewe Basi leo nataka mjue roho wa bwana Ndiye anayefanya kazi ndani yangu

Wacha roho wako akae ndani yangu Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze) Wacha roho wako akae ndani yangu Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze)

Roho wa Mungu kwa uwepo wako ndio tunanawiri Roho wa Mungu kwa nguvu zako twasimama imara Roho wa Bwana ukiwa nasi tuko tofauti sana Roho wa Bwana

Nataka ukae ndani yangu Uishi ndani yangu, udumu ndani yangu Roho wa bwana, ukae ndani yangu Uishi ndani yangu, udumu ndani yangu

Wacha roho wako akae ndani yangu Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze) Wacha roho wako akae ndani yangu Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze)

Wacha roho wako akae ndani yangu Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze) Wacha roho wako akae ndani yangu Aniongoze (Aniongoze), Aniongoze (Aniongoze)

Video

GUARDIAN ANGEL- ROHO WAKO

Thumbnail for Roho Wako video
Loading...
In Queue
View Lyrics