Ni Wewe - Uketiye kwenye kiti cha enzi

Ni Wewe - Uketiye kwenye kiti cha enzi Lyrics

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe 
Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe .

Wa kupewa sifa ni wewe 
Wa kuabudiwa ni wewe 
Wa kuhimidiwa ni wewe 
Wa kuheshimiwa ni wewe  .

Uliye mwalimu bila shahada 
Uponyeaye bila kusomea dawa 
Pokea hii sadaka ya juu Bwana 
Pokea sala zetu Baba 
Utuondoleae lawama 
Uliyeumba wala hukuumbwa 
Si ni wewe? Si ni wewe? Si ni wewe? 
Ni wewe  .

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe 
Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe .

Pokea sifa zetu Bwana 
Tunakuabudu Bwana 
Tunakuheshimu Bwana 
Wa kuabudiwa ni wewe  .

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe 
Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Ni Wewe - Uketiye Kwenye Kiti Cha Enzi:

0 Comments/Reviews