Rada

Rada Lyrics

Ulivyo leo, hiyo ni ya leo 
Huenda kesho iyo rada ibadilike 
Matatizo uliyo nayo, ni ya leo 
Hizo shida ulizo nazo, ni za leo 
Huenda kesho iyo rada ibadilike  .

Rada ibadilike (ulalala) 
Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala) 
(rudia)  .

Wamekubandika majina 
Wakakuitanisha na shida 
Hawajui kunaye, anayepeana majina  .

Hawajui na hawawai jua 
Ni nini kesho Mungu amepanga na maisha yako 
Cha muhimu ni wewe kujitambua 
Na usonge na rada yake 
(rudia) .

Ulivyo leo, hiyo ni ya leo 
Huenda kesho iyo rada ibadilike 
Matatizo uliyo nayo, ni ya leo 
Hizo shida ulizo nazo, ni za leo 
Huenda kesho iyo rada ibadilike  .

Rada ibadilike (ulalala) 
Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala) 
(rudia)  .

Wanakusema sana, we kazana 
Usichoke kupambana, yote ukimwamini Bwana 
Story yako itabadilika 
Walinisema hivyo hivyo hivyo hivyo 
Ona sasa, story yangu imebadilika 
Aliyefanya hivyo hivyo hivyo hivyo 
Kwangu mimi, kwako pia atabadilisha  .

hivyo hivyo hivyo hivyo  .

Ulivyo leo, hiyo ni ya leo 
Huenda kesho iyo rada ibadilike 
Matatizo uliyo nayo, ni ya leo 
Hizo shida ulizo nazo, ni za leo 
Huenda kesho iyo rada ibadilike  .

Rada ibadilike (ulalala) 
Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala) 
Rada ibadilike (ulalala) 
Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala)  .


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Rada:

0 Comments/Reviews