Guardian Angel - Jirani Yangu Lyrics
Lyrics
Wame badilishwa jina, wanaitwa farasi Ati safari ya uongozi, ni farasi wawili, woiii Ona vile chuki na matusi yanakuja kwa kasi Wale wanatafuta kazi tunapigana sisi, woiii woiiii We wecha, achana na mambo ya chuki Uyo jirani yako unashukiana nae Ndo ukipata shida mtabaki na yee, nasema We wecha, wachana na mambo ya vita Vita vya nini kati yangu mimi na wewe Jirani yangu mimi na wewe Wecha, achana na mambo ya matusi Uyo jirani yako mnatukanana nae Ndo ukipata shida mtabaki na yee, nasema Wecha, achana na mambo ya chuki Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe Jirani yangu mimi na wewe
Kabla ya siku za kampeni mlionana nae mwisho lini Unavurugana na wenzako juu ya nini Wale mnaishi nao kijini iiyeh Yoh mungu ndo anapeana uongozi We piga kura wachia yume ya uchaguzi Ndo yao kazi wacha wafanye iyo uamuzi Tafta jirani badla ya kuchomana chomeni ka mbuzi Tutavurugana huku chini Watuone kwa televisheni Wakosa akili uwaneni tumeshi waweka mfukoni Tutavu ugana uku chini Watuone kwa televisheni Wakosa akili uwaneni tupatane tena uwanjani Baada ya miaka tano jengeni urafiki mtakosana tena Baada ya miaka tano tupatane tena uwanjani Baada ya miaka tano jengeni urafiki mtakosana tena Baada ya miaka tano tupatane tena uwanjani
We wecha, achana na mambo ya chuki Uyo jirani yako unashukiana nae Ndo ukipata shida mtabaki na yee, nasema We wecha, wachana na mambo ya vita Vita vya nini kati yangu mimi na wewe Jirani yangu mimi na wewe Wecha, achana na mambo ya matusi Uyo jirani yako mnatukanana nae Ndo ukipata shida mtabaki na yee, nasema Wecha, achana na mambo ya chuki Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe Jirani yangu mimi na wewe
Video
Guardian Angel - JIRANI YANGU