Sifa Lyrics

Raha by Christina Shusho cover art

Christina Shusho - Raha Lyrics

Artist:
Christina Shusho

Lyrics

Naona fahari kukuabudu
Fahari kukuabudu
Nasikia vizuri kuwa wako
Vizuri kuwa wako


Naona fahari kukuabudu
Ni fahari kukuabudu
Nasikia vizuri kuwa wako
Eeh Yesu vizuri kuwa wako
Naona fahari kutembea nawe
Eeh nitembee nawe 


Naona fahari kukuabudu
Fahari kukuabudu
Nasikia vizuri kuwa wako
Vizuri kuwa wako


Naona raha nikuimbie
Naona raha nikuchezee
Naona raha nikuinue


Ni fahari kuwa nawe eeh
Naona raha nikuchezee
Asubuhi, mchana, jioni majira yote
Yesu wee, naona raha nikuchezee


Naona vizuri nishike mkono
Nishike mkono Yesu nitembee nawe
Naona vizuri nishike mkono
Nishike mkono Yesu nitembee nawe


Naona fahari kukuabudu
Fahari kukuabudu
Nasikia vizuri kuwa wako
Vizuri kuwa wako


Jinsi ulivyonipenda
Msalabani ukanifia
Aibu ukanivua
Mizigo ukanitua


Na machozi ukanifuta Yesu
Nasikia vizuri kwako
Naona fahari kutembea nawe
Naona raha kuitwa wako


Naona fahari kukuabudu
Fahari kukuabudu
Nasikia vizuri kuwa wako
Vizuri kuwa wako


Raha raha
Naona raha, furaha
Raha raha
Naona raha, furaha


Naona fahari kukuabudu
Fahari kukuabudu
Nasikia vizuri kuwa wako
Vizuri kuwa wako


Raha raha
Naona raha, furaha
Raha raha
Naona raha, furaha


Raha raha
Naona raha, furaha
Raha raha
Naona raha, furaha


Video