Nimehesabu

Nimehesabu Lyrics

Nimehesabu na kuhesabu 
Nimehesabu na kuhesabu 
Nimeongeza na kutoa 
Nikazidisha na kugawanya  .Nimeona ni wewe 
Yesu ni wewe tu 
Hakuna mwingine 
Yesu ni wewe tu  .

Pekee yako ni wewe 
Yesu ni wewe tu 
Hesabu zote nilizofanya 
Nimeona ni wewe tu 
Pekee yako ni wewe 
Ni wewe Yesu ni wewe tu 
Mwanzo mwisho ni wewe 
Ni wewe Yesu ni wewe tu 
Yesu ni wewe, ni wewe tu  .

Nikukumbuka ulikonitoa 
Nikikumbuka ulionitendea 
Ninakumbuka magonjwa ulioniponya 
Ninakumbuka vita ulionipigania 
Ninakumbuka safari umenitembeza 
Ninakumbuka yale Mungu uliyotenda  .

Ninasema ni wee, ninasema ni wewe tu 
Ni wewe, Yesu ni wewe, ni wewe tu  .

Nani awezaye kutenda uliyotenda Bwana 
Nani angelipa garama ulionilipia 
Kumbe si wenye mbio washindao michezo 
Wala walio hodari washindao vitani 
Nimeona watumwa wakipanda farasi eh Bwana 
Wala si wenye hekima wapatao chakula 
Bwana nimejumulisha, nikatoa nikagawa 
Wewe sijaona mwingine eeh Bwana  .

Wewe Bwana, ni wee, ni wewe tu 
Ni wewe, ni wewe tu .


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Nimehesabu:

0 Comments/Reviews