Sifa Lyrics

Juu Yako Bwana Naishi by Frank Njuguna cover art

Frank Njuguna - Juu Yako Bwana Naishi Lyrics

Artist:
Frank Njuguna

Lyrics

Umenilinda na kunihifadhi
fadhili zako za milele
ni ju yako Bwana mi naishi


Umenilinda kwa mishale ya kifo
fadhili zako za milele
ni ju yako Bwana ninaishi


Umenilinda kwa mikosi yoyote
fadhili zako za milele
ni ju yako Bwana ninaishi


Pokea sifa zote na utukufu
Heshima na uweza ni zako Bwana
Haulinganishwi na chochote
fadhili zako za milele
Ni ju yako Bwana ninaishi


Gongo lako na fimbo yako
yanifariji mimi
Ni ju yako Bwana mi naishi
Waandaa meza mbele ya watesi wangu
Ni ju yako Bwana mi naishi
Nipitapo kwenye uvuli wa kifo
wewe huniachi baba
Ni ju yako Bwana mi naishi


Pokea sifa zote na utukufu
Heshima na uweza ni zako Bwana
Haulinganishwi na chochote
fadhili zako za milele
Ni ju yako Bwana ninaishi


Video