Bahati - Kutoka Kwa Moyo Wangu Lyrics
Lyrics
oh mapenzi ya msalabani ni mapenzi ya baba yangu* Miaka elfu mbili zilizopita, hiyo siku baba, kabla jua halijazama kabla giza halijatanda, pale milimani ,pale msalabani katika misumari, kalipa yote maishani baada ya mapigo na matusi, kanisamehe mwenye dhambi, oh oh ooh
kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie, kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie, kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue
kama si we kunifia basi ningeitwa nani, kama sio kwa damu yako basi ningetakasika aje kama sio we mungu wangu mimi ningeishi vipi ulikufa ukafufuka ili nipate uzima wa milele nakuinua ,uishiye,pokea sifa kwa maana wewe mimi sina
kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie, kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie, kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue
My God Because of your Love, I am where I am today Because of your Love I dont know even what I have to face Because of your love you died for my debts to pay
Mapenzi yasiyokuwa na kifani Kwa ajili ya mapenzi mabaya hayahesabiki Mapenzi ya Yesu kwangu, yamenitengeneza Jinsi nilivyo Oh ni mapenzi ya Yesu Kwangu
kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie, kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie, kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue
Ft. Jemimmah Thiong'o
Video
BAHATI & JEMMIMAH THIONG'O - KWA MOYO WANGU (OFFICIAL VIDEO)