Sifa Lyrics

Bado by Bahati cover art

Bahati - Bado Lyrics

Artist:
Bahati

Lyrics

Eeh niaje Deno
Vipi Bahati tena?


Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
Kuna wakati nawaza sipo niambie bado
Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
Kuna wakati nawaza kifo niambie bado


Nikumbushe bado, niambie bado
Nikumbushe bado, mwanao bado


Nimesoma degree na kazi bado(Bado)
Mke wangu anadanga umasikini chanzo(Bado)
Vibarua Eastleigh na kazi bado(Bado)
Nyuma nayo ya kupanga elimu zero(Bado)


Mama analia cancer matibabu bado
Heri yule tajiri atatibiwa Ng'ambo
Baba lini machozi yatafika mwisho
Fanya hima ushuke tumefika mwisho


Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
Kuna wakati nawaza sipo niambie bado
Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
Kuna wakati nawaza kifo niambie bado


Nikumbushe bado, niambie bado
Nikumbushe bado, mwanao bado


Mwanao nimemiss kucheka
Vile vifunny funny vya wenzangu
Natamani hata kuona 
Nijue sura ya mke wangu


Pia mwezi na nyota nione
Nikichunguza na kuvutia
Alafu isitoshe
Shida zimeniandama aaah


Kodi sijalipa(Bado)
Jirani anachoma nyama aah
Angalau hata mboga(Bado)


Si ati kwamba nasahau
Unaniwaziaga mema(Bado)
Ila mwisho nimefika
Lakini nakutazamia(Bado) 


Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
Kuna wakati nawaza sipo niambie bado
Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
Kuna wakati nawaza kifo niambie bado


Nikumbushe bado, niambie bado
Nikumbushe bado, mwanao bado


Mwanao nimemiss kucheka
Vile vifunny funny vya wenzangu
Natamani hata kuona 
Nijue sura ya mke wangu


Mwanao nimemiss kucheka
Vile vifunny funny vya wenzangu
Natamani hata kupata baraka 
Nifanane na wenzangu


Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
Kuna wakati nawaza sipo niambie bado
Kuna wakati nafika mwisho niambie bado
Kuna wakati nawaza kifo niambie bado


Nikumbushe bado, niambie bado
Nikumbushe bado, mwanao bado


Video