Bahati - Sorry Lyrics

Lyrics

Emb records Mama mama lalelee DK Kwenye beat na bahati tena

Niko na mengi masikireti Niyatoeje kwenye kibeti Sometimes naregreti I am so sorry

Na, niko na mengi masikireti mengine makubwa na mebgine petty Na mengine mmewitnesi Am so sorry

kabla niseme sana, baba nisikize leo niko na bratha, anaitwa DK

Baba ulie juu mbinguni,najua unatazama Mimi ni mwanako, mpendwa katika bwana Naishi kwa bahari, mchanga uliozama Kwa mbali naona vumbi, iliyohama Na njaa ilitawala na tamaa ya ganji Nafanya mradi kwa kivuli cha uchungaji Nazini sana na upako wa kipaji Gunia la dhambi na namvisha Yesu taji

Niko na mengi masikireti Niyatoeje kwenye kibeti Sometimes naregreti I am so sorry

Na, niko na mengi masikireti Mengine makubwa na mebgine petty Na mengine mmewitnesi Am so sorry

Sorry, sorry sorry, am sorry Sorry, sorry sorry, am sorry

Cadre de contenu incorporé

Mama aliniambia, nikafanya kupuuzia Leo najuta, nashindwa kusimulia Kafiri hazaliwi, anajengwa na dunia Kuna muda mtu mzuri, hutengwa na hatia

Nilicho na kini sana, nakumbuka Nilizaliwa nyota upako kuruka Nikasahau safari ya macho inafilisi duka Ata mwenye roho safi akifa ananuka

Niko na mengi masikireti Niyatoeje kwenye kibeti Sometimes naregreti I am so sorry

Na, niko na mengi masikireti mengine makubwa na mebgine petty Na mengine mmewitnesi Am so sorry

(Shazbaro)

Lord of Lord, you're gracious Sorry, am sorry Compassion, slow to anger and of greatness Am sorry!

Video

DK KWENYE BEAT and BAHATI - SORRY (Official Music Video)

Thumbnail for Sorry video
Loading...
In Queue
View Lyrics