Sifa Lyrics

Umewazidi by Remnant Malita + Dr Ipyana cover art

Remnant Malita + Dr Ipyana - Umewazidi Lyrics

Artist:
Remnant Malita + Dr Ipyana
Album:
Umewazidi - Single
Official Release:
01 Feb 2021

Lyrics

Mwema Mungu mwema 
Maana fadhili zako za milele 
Mwema Mungu mwema 
Maana fadhili zako za milele 


Mwema Mungu mwema 
Maana fadhili zako za milele
Mwema Mungu mwema 
Maana fadhili zako za milele


Umewazidi wote ulimwenguni kote 
(You have surpased all in all the world)
Hakuna kama wewe 
(No, there is none like You)
Umewazidi wote kwa nguvu uweza mamlaka Yesu 
Hakuna kama wewe 


Umewazidi wote ulimwenguni kote 
Bwana hakuna kama wewe 
Umewazidi wote ulimwenguni kote 
Bwana hakuna kama wewe 


(You can dance before the Lord ...) 


Umewazidi wote ulimwenguni kote 
Bwana hakuna kama wewe 
Umewazidi wote ulimwenguni kote 
Bwana hakuna kama wewe 


Mwema Mungu mwema 
Maana fadhili zako za milele 
Mwema Mungu mwema 
Maana fadhili zako za milele 


Umewazidi wote ulimwenguni kote 
(You have surpased all in all the world)
Bwana Hakuna kama wewe 
(Lord there is none like You)


Video