Sifa Lyrics

Sitakuacha by Dr Ipyana cover art

Dr Ipyana - Sitakuacha Lyrics

Artist:
Dr Ipyana
Album:
Praise & Worship Songs (Deluxe Version)
Official Release:
27 Sep 2018

Lyrics

Ninakushukuru Yesu tukuza jina lako 


Wewe ni kila kitu kwangu 


Nionyeshe sura yako 


Nikujue zaidi Bwana 


Sitakuacha sitakuacha 


Umenionyesha wema wako 


(rudia *3) 


Mweza* wa siku Alpha Omega 


Mwanzo na mwisho wa imani Yetu 


Ulikuwapo upo utakuwapo 


Sitakuacha sitakuacha 


Umenionyesha wema wako 


Uuuuh uuu uuuuh 


aah aaaah 


Sitakuacha sitakuacha 


Umenionyesha wema wako 


...


Video