Reuben Kigame

Msaada Wangu Lyrics

Nitainua macho yangu, nitazame milima 
Msaada wangu utatoka wapi? 
Msaada wangu uu katika Bwana 

Bwana ameumba mbingu na nchi 
Asiuache mguu wako usongozwe 
Hasinzii yeye akulindaye 
Haoni usingizii 

Bwana ndiye mlinzi wako daima 
Yeye uvuli wa mkono wako wa kuume 
Jua halitakupiga mchana 
Wala mwezi usikuu

Nitainua macho yangu, nitazame milima 
Msaada wangu utatoka wapi? 
Msaada wangu uu katika Bwana 

Bwana atakulinda na mabaya yote 
Yeye atailinda nafsi yako 
Utokapo na uingiapo wewe 
Bwana atakulindaa 

Nitainua macho yangu, nitazame milima 
Msaada wangu utatoka wapi? 
Msaada wangu uu katika Bwana 

Msaada wangu uu katika Bwana 
Msaada wangu uu katika Bwana 

(Taarab Style)
Msaada wangu uu katika Bwana 


Msaada Wangu Video

Source: Msaada Wangu Lyrics - Reuben Kigame