Nadia Mukami - Zawadi Lyrics

Lyrics

Zawadi kanipa mungu sasa kwanini nisipokee Zawadi ya kiyoyozi palipo joto baridi unipepee Tena baridi si nyingi kiasi usingizi uniletee Nikitoka kazini uchovu mawazo unifanya yapotee

Ivi ushapendwa manake nikipenda waga napenda kweli Uoga kwa wakutendwa usihofu mimi si kama wale matapeli Basi leo nadeka nacheza napendwa na Wewe, Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe

Mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby Kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa) Nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa) Mi ni wako pekee mwengine hapana Wanaosema watasema sana

Nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh Nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh Zawadi yangu...zawadi yanguuu Zawadi yangu...zawadi yanguuu

Kwa geti ntaekea mbwa kali ndio mafisi wasisogee Nikulinde nikutunze sarafu mikononi usinipotee Niruhusu nikugande chawa Umenishika pabaya Unachotaka mi ni sawa Mana nishapagawa

Jamani penzi letu limebobea Nimepata wangu mi napepea Kitausi naringa nikitembea Unavonipenda najichekea Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe,(na wewe) Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe Mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby

Kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa) Nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa) Mi ni wako pekee mwengine hapana Wanaosema watasema sana.

Nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh Nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh Zawadi yangu...zawadi yanguuu (Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe) Zawadi yangu...zawadi yanguuu (Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe) Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe Nishike nipinde nibebe nimenaswa na ewe

Video

Nadia Mukami ft Latinoh - Zawadi (Official Video)

Thumbnail for Zawadi video

Meaning & Inspiration

not a christian song.

Loading...
In Queue
View Lyrics