Nadia Mukami - Saluti Kwa Mama Lyrics

Lyrics

Saluti kwa mama Heshima kwa mama Pongezi mama Saluti kwa mama Mapenzi kwa mama Asante mama Saluti kwa mama Heshima kwa mama Pongezi mama Saluti kwa mama Mapenzi kwa mama Asante mama Ulijinyima ndio nipate Zile Mateso nisikose Ulinipa vyako vyote Leo niko hapa juu yako  (juu yako, juu yako, juu ya, juu ya, juu yako)

Mama, mama,(mmmhhh) Mama, mama (yeah) Mama, mama Bila we ningekuwa wapi Mama, mama (uuuuu) Mama, mama (yeah) Mama, mama Naomba Mungu akulinde

Mwanamke shujaa Mke shupavu Ni wewe Mama Mwanamke bomba Mke unangaa Ni wewe mama Na kwa yote (yote tutapitia aaa) I will always be by your side Na Kwenye mvua (kwenye mvua mama) I’ll be your umbrella I wanna, I wanna spend all my money I wanna, I wanna treat you mummy I wanna, I wanna love you forever mummy Nitafanya nitafanya chochote (juu yako, juu yako, juu ya, juu ya, juu yako)

Mama, mama,(mama) Mama, mama (mama) Mama, mama Bila we ningekuwa wapi Mama, mama (uuuuu) Mama, mama (yeah) Mama, mama Naomba Mungu akulinde

Saluti kwa mama Heshima kwa mama Pongezi mama Saluti kwa mama Mapenzi kwa mama Asante mama Saluti kwa mama Nakupenda mama Pongezi mama Saluti kwa mama Nakupenda mama (Yeah yeah)

Mama, mama,(mmmhhh) Mama, mama(mama) Mama, mama (ohhhhh) Bila we ningekuwa wapi Mama, mama (mama) Mama, mama (aahhh) Mama, mama Naomba Mungu akulinde Mama, mama,(mmmhhh) Mama, mama (yeah) Mama, mama Bila we ningekuwa wapi Mama, mama (uuuuu) Mama, mama (yeah) Mama, mama Naomba Mungu akulinde

Video

Nadia Mukami ft Iyanii - Saluti Kwa Mama (Official Video)

Thumbnail for Saluti Kwa Mama video
Loading...
In Queue
View Lyrics