Maombi

Maombi Lyrics

Nadia....
(hoyah hoyah hoyah)x2 .

Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha,
Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba
Hao binadamu walinipa wiki,
Sasa imepita miaka bado wanasubiri, .

(Bridge)
Kazi ya Mungu haina makosa,
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa, .

(CHORUS)
Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi X2 .

Hoya hoya,hoyaaah X3  .

VERSE 2
Na mikono nitainua, magoti nipige
Nimweleze jinsi alivyotenda katika Maisha yangu... .(Bridge)
Kazi ya Mungu haina makosa,
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa, (X2) .

(CHORUS)
Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi X2 .

VERSE 3: .

Maneno ya wanadamu, yalinilenga kama mishaleee
Ila Mungu hawezi kubali uangukee,
Alichoanzisha leo, lazima atakamilisha weeeh .

(Bridge)
Kazi ya Mungu haina makosa,
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa, (X2) .

(CHORUS)
Sio juju ni Maombi, ni maombi, 
Si kelele ni maombi, ni maombi, (X2) .

Si uchawii weeeh
Si uleviii eeeh
Si kwa nguvu zangu mieee
Si KaNadia katambeeeee


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Maombi:

0 Comments/Reviews


Nadia Mukami Top Songs

Bible Verses for Maombi

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section