Israel Mbonyi - Yanitosha Lyrics
Lyrics
Chorus :
Yanitosha neema ya mungu
Ndio uzima kuyatambuwa
Kwenye mapungufu yangu
Ndipo nguvu zake Zatiimiya.
Verse :
Nimesulubiwa nae, lakini mi niko hai;
Si mimi tena, Kristo ndani yangu
Nitajisifia udhaifu wangu, kwa furaha nyingi
Ili uweza wake ukae juu yangu
Yote nitendayo ni kwa imani,
Sitaibatili neema ya Mungu
kamwe
Bridge :
Sio mimi Tena , Christo Ndani yangu
Hayo Yanitosha.
Video
Israel Mbonyi - Yanitosha