Wanaoamini nguvu ya Bwana wako wapi?
Imo nguvu, ndani ya jina la Yesu
Tena kuna ushindi ndani ya jina
Sema Imo
Imo nguvu, ndani ya jina la Yesu
Tena kuna ushindi ndani ya jina la Yesu
Vipofu wanaona, visiwi wasikia
Ndani ya jina la Yesu
Viwete watembea, Mabubu wanasema
Ndani ya jina la Yesu
Vipofu wanaona, visiwi wasikia
Ndani ya jina la Yesu
Matumbo yaliyofungwa yanafunguliwa
Ndani ya jina la Yesu
Tuliokuwa masikini, sasa ni matajiri
Ndani ya jina la Yesu
Walijaribu kufuta majina yetu
Leo hii Mungu ametupa majina
Ndani ya jina la Yesu
Imo nguvu, ndani ya jina la Yesu
Kuna ushindi ndani ya jina
Imo nguvu, ndani ya jina la Yesu
Kuna ushindi ndani ya jina la Yesu
Wasio na watoto, wanapata watoto
Ndani ya jina la Yesu
Tuliokataliwa leo tumekubaliwa
Ndani ya jina la Yesu
Waliitwa kapuku, watu wasio na mbele na nyuma
Lakini Yesu Ndani ya jina la Yesu
Tulikuwa chini Bwana ametuinua
Ndani ya jina la Yesu
Imo nguvu, ndani ya jina la Yesu
Kuna ushindi ndani ya jina
Sema Yesu
Yesu Yesu ninakuamini
Nimekuona thabiti ...