Sarah K - Hatua Lyrics
Lyrics
Intro / Verse 1
Eh Bwana, fadhili zako zinifikie [Oh Lord, let Your grace reach me]
Nielewe kanuni zako nifuate [Let me understand Your statutes so I may follow]
Wewe Eh Bwana, sema Eh Bwana, fadhili zangu zifikie [You, oh Lord—speak, oh Lord—let Your favor reach me]
Nielewe, nielewe kanuni zako nifuate [Let me understand, let me understand Your statutes so I may follow]
Chorus
Hatua zako ziwe zangu [Let Your steps be mine]
Njia zako ziwe zangu [Let Your ways be mine]
Neno lako liwe langu [Let Your word be mine]
Hatua zako ziwe zangu [Let Your steps be mine]
Njia zako ziwe zangu [Let Your ways be mine]
Neno lako liwe langu [Let Your word be mine]
Verse 2
Ningependa Baba, ningependa njia zangu [I desire, Father, I desire my ways]
Nizitii amri zako nifuate [Let me obey Your commands and follow You]
Wewe Baba, ningependa, ningependa njia zangu [You, Father, I desire, I desire my ways]
Nizitii amri zako nifuate [Let me obey Your commands and follow You]
Bridge / Refrain
Hatua zako ziwe zangu [Let Your steps be mine]
Njia zako ziwe zangu [Let Your ways be mine]
Neno lako liwe langu [Let Your word be mine]
(Repeat with congregational worship)
Video
Hatua