Sarah K - Niloweshe Lyrics

Niloweshe Lyrics

Niloweshe niloweshe 
Roho Mtakatifu 
Niloweshe niloweshe 
Nakuomba roho niloweshe 

Roho mtakatifu 
Kwa maombi na kufunga niloweshe 
Nisipungukiwe nisije nikakauka 
Nakuomba roho niloweshe 

Niloweshe niloweshe 
Roho Mtakatifu 
Niloweshe niloweshe 
Nakuomba roho niloweshe 

Roho mtakatifu niloweshe 
Kwa upako wako niloweshe 
Nisipungikiwe nisije nikakauka 
Nakuomba roho niloweshe 

Roho mtakatifu niloweshe 
Kwa ushirika wako niloweshe 
Nisipungukiwe nisije nikakauka 
Nakuomba roho niloweshe 

Niloweshe niloweshe 
Roho Mtakatifu 
Niloweshe niloweshe 
Nakuomba roho niloweshe  


Dr. Sarah K - Niloweshe (Official Video) SKIZA Code, "7241387"

Niloweshe Lyrics -  Sarah K

Sarah K Songs

Related Songs