Sifa Lyrics

Ana Heri by Neema Gospel Choir cover art

Neema Gospel Choir - Ana Heri Lyrics

Artist:
Neema Gospel Choir

Lyrics

Lead Intro
Bwana umekuwa nguvu zangu wakati wote
Umekuwa imara wangu kila wakati


Chorus
Ana heri mtu yule
Ambaye Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake


Ana heri mtu yule
Ambaye Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake


Verse
Maana amepandwa kwenye udongo
Udongo wenye rutuba
Na Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake


Maana amepandwa kwenye udongo
Udongo wenye rutuba
Na Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake


Chorus (Choir & Lead)
Ana heri mtu yule
Ambaye Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake
(Repeats multiple times with lead ad-libs)


Verse (Choir & Lead)
Maana amepandwa kwenye udongo
Udongo wenye rutuba
Na Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake
(Repeats multiple times with lead ad-libs)


Chorus
Ana heri mtu yule
Ambaye Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake
(Repeats)


Bridge (Lead)
Cha kutumaini sina
Ila damu yako Bwana Yesu
Damu yako Bwana Yesu
Damu yako Bwana Yesu


Cha kutumaini sina
Ila damu yako Bwana Yesu
Damu yako Bwana Yesu
Damu yako Bwana Yesu


Bridge (Choir)
Cha kutumaini sina
Ila damu yako Bwana Yesu
Damu yako Bwana Yesu
Damu yako Bwana Yesu


Cha kutumaini sina
Ila damu yako Bwana Yesu
Damu yako Bwana Yesu
Damu yako Bwana Yesu


Spontaneous Worship & Prayer (Lead)
Wewe Bwana ni nguvu zangu
Moyo wangu umekutumaini
Wewe Bwana ni nguvu zangu
Moyo wangu unakupenda
Umenisaidia kila majira
Umenisaidia kila wakati
Umenipigania kila hatua
Sikutaja jina jingine, ila jina lako
Sikuitana mungu mwingine, ila wewe
Ulifanya kila nililoomba
Ulifanya kila nililoomba
Eh Bwana umekuwa nguvu zangu...


Bwana, Bwana, Bwana...
Yesu, Yesu, Yesu...
Umeniokoa mbali na hatari
Nitakuita ili nipate msaada kutoka kwako
Maana wokovu wa mwanadamu haufai kitu
Nakuita wewe Mungu
Sina mwingine ila wewe
Sina mwingine ila wewe
Sina mwingine ila wewe...


Bridge (Choir)
Cha kutumaini sina
Ila damu yako Bwana Yesu
Damu yako Bwana Yesu
Damu yako Bwana Yesu
(Repeats)


Chorus (Choir)
Ana heri mtu yule
Ambaye Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake
(Repeats)


Verse (Choir)
Maana amepandwa kwenye udongo
Udongo wenye rutuba
Na Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake
(Repeats)


Spontaneous Exhortation (Lead)
Shukuru tu Mungu kwa jinsi anavyokupigania
Shukuru tu Mungu kwa uaminifu wa jina lake
Pengine ni kawaida, pengine unaona ni sawa
Kuwa hivyo ulivyo, lakini nakwambia sio kawaida!
Bila neema ya Yesu, sio kawaida!
Sio kawaida kulitaja tu jina la Yesu
Hata hivi tunavyolitaja, ni neema yake
Ya kwamba hatukuangamia hapo katikati
Ni neema ya Yesu!
Katikati ya ukoo wenye watu wengi
Bwana akakuchagua, ulitaje jina lake kwenye familia yenu
Katikati ya mambo mengi, yeye amekushindia
Katikati ya mazingira yaliyoonekana hayawezekani kubadilika
Yeye amekusaidia, umekuwa mtu mwingine!
Yesu! Ninakutegemea...


Outro (Choir)
Maana amepandwa kwenye udongo
Udongo wenye rutuba
Na Bwana ni nguvu zake
Bwana ni nguvu zake


Video