Paul Clement - Kitabu Lyrics

Kitabu Lyrics

Kama ungekuwa kitabu ningesimulia hadithi 
Kama nikipewa kalamu niandike nitamaliza wino 
Matendo yako ni mengi wala hayaelezeki

Kitabu Video

Paul Clement Songs

Related Songs