Sifa Lyrics

Nashangazwa kwa Neema Zako by Elie Malekani cover art

Elie Malekani - Nashangazwa kwa Neema Zako Lyrics

Artist:
Elie Malekani

Lyrics

Shukrani kwako bwana
Ninashukuru kwa neema
Jinsi mimi niko ni wewe
Shukrani kwako Mungu
ninashukuru kwa upendo wako kwangu mimi


Nashangazwa na rehema zako
Yesu weeeeh aasante kwa neema
Nashangazwa na rehema zako
Yesu weeeh asante kwa neema


Mimi ningepotea ningewaza kuanguka
Ila upo nami muda wote
Eeeh Bwana nashangwazwa kwa wema nazo
fadhili huruma zako


Nashangazwa na rehema zako
Yesu weeeeh aasante kwa neema
Nashangazwa na rehema zako
Yesu weeeh asante kwa neema


Mimi ningepotea ningeweza kuanguka
Ila uko nami muda wote
Eeeh Bwana nashangwazwa
kwa wema nazo fadhili huruma zako


Nashangazwa na rehema zako
Yesu weeeeh asante kwa neema
Nashangazwa na rehema zako
Yesu weeeeeh asante kwa neema


Nashangazwa (mie) na rehema zako
Daddy eeeeh asante kwa neema


Instrumental Outro


Video