Kestin Mbogo - Natamani Nikuone Lyrics

Natamani Nikuone Lyrics

Haja ya Moyo wangu,
Kilio cha Moyo wangu
Tamanio la Moyo wangu,
Nikuone, nikuone
(ft. Israel Kakondja)
Haja ya Moyo wangu,
Kilio cha Kizazi changu,
Tamanio la kanisa lako,
Tukuone, Tukuone,

Natamani nikuone
Niuone uso wako,
Nikuabudu, nikuabudu
Oh Yesu, Jina Lako Yesu,
Nakutamani, nakutamani

Kila goti, litapigwa,
Ndimi zote, zitakiri
Kuwa Yesu, Wewe ni Bwana,
Kuwa Yesu, Wewe ni Bwana,
Tunanyenyekea, tunavua taji,
Ili wewe Bwana uonekane


Natamani Nikuone

Kestin Mbogo Songs

Related Songs