Kestin Mbogo - Mungu Mkuu Lyrics

Lyrics

Wewe ni Mungu mkuu
ninayetumikia
Malaika wainama
Mbingu za hubiri 
Wewe ni Mungu mkuu

Wewe ni Mungu mkuu
ninayetumikia
Malaika wainama
Mbingu za hubiri 
Wewe ni Mungu mkuu

Wewe ni Mungu mkuu
ninayetumikia
Malaika wainama
Mbingu za hubiri 
Wewe ni Mungu mkuu

Nikitazama Milimani
msaada wangu watoka wapi
msaada wangu watoka kwako
nakutegemea pekee
umevikwa na utukufu 
rehema zako ni za milele
wewe ni Mungu Jehovah Shamah
nakutegemea pekee

Wewe ni Mungu mkuu
ninayetumikia
Malaika wainama
Mbingu za hubiri 
Wewe ni Mungu mkuu

Wewe ni Mungu mkuu
ninayetumikia
Malaika wainama
Mbingu za hubiri 
Wewe ni Mungu mkuu

Umenipa nguvu Bwana 
na ujasiri kumshinda mwovu
nimekombolewa 
nimesamehewa 
nakutegemea pekee

Umenipa nguvu Bwana 
na ujasiri kumshinda mwovu
nimekombolewa 
nimesamehewa 
nakutegemea pekee

Wewe ni Mungu mkuu
ninayetumikia
Malaika wainama
Mbingu za hubiri 
Wewe ni Mungu mkuu

Wewe ni Mungu mkuu
ninayetumikia
Malaika wainama
Mbingu za hubiri 
Wewe ni Mungu mkuu

Video

Kestin Mbogo ft. Eunice Meshack - Mungu Mkuu - Live [Official Video]

Thumbnail for  Mungu Mkuu video
Loading...
In Queue
View Lyrics