Neema Gospel Choir - Nikurejeshee Lyrics
- Song Title: Nikurejeshee
- Album: Nikurejeshee - EP
- Artist: Neema Gospel Choir
- Released On: 14 Feb 2024
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music

Nasikia kuitwa na sauti yake
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
Nasikia kuitwa na sauti yake
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
Nasikia kuitwa na sauti yake
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
Nasikia kuitwa na sauti yake
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
CHORUS
nikurejeshee
Nikurejeshee
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
Amani ya moyo iliyotoweka
Usiitafute kwengine
Kwake yesu utaipata
Furaha ya kweli iliyotoweka
Usiitafute kwengine
Kwake yesu utaipata
Amani ya moyo iliyotoweka
Usiitafute kwengine
Kwake yesu utaipata
Furaha ya kweli iliyotoweka
Usiitafute kwengine
Kwake yesu utaipata
Ndipo hayo mema yatakujilia
Atarejesha vyote adui alivyochukuaaa
Ndipo hayo mema yatakujilia
Atarejesha amani ya moyo na furaha iliopotea
nikurejeshee
Nikurejeshee
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
(x8)
kibali kwenye Huduma yangu
Amani kwenye familia yako
Anasema njoo kwangu nikurejeshee..
nikurejeshee
nikurejeshee
Nikurejeshee
Anasema njoo kwangu nikurejeshee
(repeat till end)
Urejesho ni mchakato wa kurudisha kitu kilichoharibika au kupotea. Biblia inatuhimiza kumgeukia Mungu. Na kupitia imani na maombi, tutapata uponyaji, kurejeshewa nguvu, na kupewa maisha mapya katika Kristo Yesu.
Yeremia 30:17
Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA ...
Yoeli 2:25
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.
Mnamo mwaka 2022, Familia ya Ev. Mchome, ilipitia kipindi kigumu sana baada ya kumpoteza mama yao mpendwa (Aliyeanguka ghafla na kufariki). Majonzi na simanzi kubwa ilitanda mioyoni mwao mithili ya wingu zito na giza totoro, hakuna maneno mazuri ambayo yangetosha kuwapa faraja familia hii.
Neema Gospel Choir