Neema Gospel Choir - Yahweh Lyrics

Album: Yahweh - Single
Released: 06 Dec 2024
iTunes Amazon Music

Lyrics

Hakuna wa kufananishwa nawe anayeweza kufanana nawe mungu ni wwewe pekee milele
Yahweh 
wewe ni mungu mwema
wewe ni mungu pekee milele

Hakuna wa kufananishwa nawe anayeweza kufanana nawe mungu ni wwewe pekee milele
Hakuna wa kufananishwa nawe anayeweza kufanana nawe mungu ni wwewe pekee milele

Yahweh 
Yahweh you are so good
wewe ni mungu pekee milele
Yahweh 
Yahweh i am so grateful
wewe ni mungu pekee milele

Yahweh 
Yahweh you are so good
wewe ni mungu pekee milele
Yahweh 
Yahweh i am so grateful
wewe ni mungu pekee milele

Utendavyo wewe
ufanyavyo wewe
si kama watu wafanyavyo
Mawazo yako
hekima yako
upendo kwako,kwangu mimi 
ni ya ajabu

Umenipimia kwa wingi
kuliko hata nilivyodhani
Umenipimia kwa wingi
kuliko hata nilivyodhani

Ikiwa baraka zako nimepata
babaa kwa moja
Ikiwa baraka zako nimepata
babaa kwa moja
Ikiwa baraka zako nimepata
babaa kwa moja

oooh oh
oooh oh
oooh oh
oooh oh

Hakuna wa kufananishwa nawe anayeweza kufanana nawe mungu ni wwewe pekee milele
Hakuna wa kufananishwa nawe anayeweza kufanana nawe mungu ni wwewe pekee milele

Yahweh 
Yahweh you are so good
wewe ni mungu pekee milele
Yahweh 
Yahweh i am so grateful
wewe ni mungu pekee milele

Video

Neema Gospel Choir - Yahweh (Live Music Video)

Thumbnail for Yahweh video
Loading...
In Queue
View Lyrics