NEEMA YA MUNGU Lyrics - Neema Gospel Choir
Neema Gospel Choir swahili
Song Information- Song Title: Neema Ya Mungu
- Album: The Sound of Ahsante
- Released On: 11 Oct 2021
- Download/Stream: iTunes Music
NEEMA YA MUNGU Lyrics
Neema ya Mungu
Neema ya Mungu imetuokoaa
Neema ya Mungu
Neema ya ya Mungu ni ushindi wetu
Haleluya aah haleluya
Neema ya Mungu imetuokoa
Haleluya aah haleluya
Tumemshinda shetani
Tunashukuru
ujio wake Yesu
Twafurahia
ukombozi
oooh wetu
lsingekuwa Yesu tusinge hesabiwa haki mbele zake
pasipo nguvu ya ukombozi tungepotelea
shimoni mwa dhambi
zetu (mwa dhambi)
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba wa wokovu wetu
Si kwa nguvu bali ni neema kukombolewa twafurahi
Ni yeye anajua kuhesabu siku zetu huyasikia maombi yetu
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba wa wokovu wetu