Bella kombo - Dakika 1 Lyrics

Dakika 1 Lyrics

Nina neno moja nataka niseme Sema Nina neno moja nataka niseme Sema Dakika moja Dakika moja Niseme Dakika moja Dakika moja Nipewe Nina neno moja nataka niseme Sema Nina neno moja nataka niseme Sema Dakika moja Dakika moja Niseme Dakika moja Dakika moja Nipewe Wale Tisa mi sijui wako wapi Nimekuja hapa na neno moja Baba yo Dakika moja Dakika moja Niseme Dakika moja Dakika moja Nipewe Wale Tisa mi sijui wako wapi Ila Nimekuja hapa na neno la shukurani Dakika moja Dakika moja Niseme Dakika moja Dakika moja Nipewe Sio fedha sio mali vilivyo nibeba Ni neema yako nimefika hapa Dakika moja Dakika moja Niseme Dakika moja Dakika moja Nipewe Sio fedha sio mali imenibeba Bali Ni neema yako nimefika hapa Dakika moja Dakika moja Niseme Dakika moja Dakika moja Nipewe Kumbuka Yesu Ameondoa aibu Yesu Amenifuta machozi Yesu Amenipa jina jipya Yesu Amenikumbuka Yesu Ameondoa aibu Yesu, Yesu Amenifuta machozi Yesu Amenipa jina jipya , kanikumbuka Kanikumbuka Yesu Ameondoa aibu Yesu Amenifuta machozi Yesu Amenipa jina jipya Yesu Kanikumbuka Yesu Ameondoa aibu Yesu Amenifuta machozi Yesu Amenipa jina jipya Yesu Amenikumbuka Yesu Ameondoa aibu Yesu Amenifuta machozi Yesu Amenipa jina jipya Yesu Kanikumbuka Yesu Ameondoa aibu Yesu Amenifuta machozi Yesu Amenipa jina jipya Yesu Kanikumbuka Yesu Ameondoa aibu Yesu Amenifuta machozi Yesu Amenipa jina jipya Yesu Naomba Dakika moja Dakika moja Dakika moja Niseme Dakika moja Dakika moja Nipewe Dakika moja Dakika moja Niseme Dakika moja Dakika moja Nipewe Dakika moja Dakika moja Niseme Dakika moja Dakika moja Nipewe Dakika moja Dakika moja Niseme Dakika moja Dakika moja Nipewe


Bella Kombo ft. Mira Mbepera - Dakika 1 (Official Live Video)

Bella kombo Songs

Related Songs