Paul Clement - Mwana Lyrics
- Song Title: Mwanadamu (feat. Bella kombo)
- Album: Zawadi
- Artist: Paul Clement
- Released On: 20 May 2023
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Nilikuwa mwana wa Mungu
Japo naweza kulisha watu elfu tano
Kwa mikate mitano
Kwa mikate mitano
Nilikuwa mwana wa Mungu
Japo naweza tembea juu ya maji
Tena bila kuzama
Tena bila kuzama
Nilikuwa mwana wa Mungu
Nimefanyika kuwa wa kumbokea Yesu
Nakumwamini yeye
Nakumwamini yeye
Nilikuwa mwana wa Mungu
Japo naweza kulisha watu elfu tano
Kwa mikate mitano
Kwa mikate mitano
Nilikuwa mwana wa Mungu
Japo naweza tembea juu ya maji
Tena bila kuzama
Tena bila kuzama
Nilikuwa mwana wa Mungu
Nimefanyika kuwa wa kumbokea Yesu
Nakumwamini yeye
Nakumwamini yeye
Jiwe isipokuwa mkate
Mimi bado mwana
Mimi bado mwana
Mimi bado mwana
Mimi bado mwana
Nina uhakika
nimefanyika
ukinijaribu
Mimi bado mwana
Mimi bado mwana
Mimi bado mwana
Nina uhakika
nimefanyika
Nikipita jangwani
Mimi bado mwana
nikipita kwenye moto kali
Mimi bado mwana
nisipoona sivyo
Mimi bado mwana
Nina uhakika
nimefanyika
Nikiwa mslabani
nikipaa angani
nikiwa duniani
Mimi bado mwana
Nina uhakika
nimefanyika
nikiwa matopeni
Imeandikwa
mimi bado mwana
wewe bado mwana
mimi bado mwana
mimi bado mwana
Nina uhakika
nimefanyika