Sifa Lyrics

Uwe Hai by Israel Mbonyi cover art

Israel Mbonyi - Uwe Hai Lyrics

Artist:
Israel Mbonyi
Album:
Uwe Hai (Live) - EP
Official Release:
20 Nov 2024

Lyrics

Verse 


Mbali ninayatupa hayo yote yakushirakiyo 


Maana Mii Ni Mwenyezi Mungu, Usinzie nakufunika 


Tena Mimi Niko Naweza kukutunza 


kwa Neno la Kinywani mwangu 


Na utayalalia haya Maneno 


Kisha na mkono wangu 


utakandamiza malengo ya wabaya


Maana Mimi Niko 


Nitakulinda kwa gongo la Upendo wangu 


Uwe hai, natamka, uwe hai. 


Chorus :


Uwe hai, eweee Uwe hai 


Uwe hai, eweee Uwe hai 


Wee mifupa ilio kauka , Ewe uwe hai 


Wee mifupa mikavu ewe uwe hai 


Akanitazama kwa utele wa upendo wake, 


Eti uwe hai 


Akanitazama, kwa utele wa Rehema Zake, 


Eti uwe hai. 


Bridge : 


Uko na alama ya damu yake mpenzi 


We ni wangu mi wako ooh 


Hayo ninayasema.


Video