Kuna Yule aliye karibu Muumba mbingu na vyote vilivyo vyema Kuna Yule aliye karibu Mkono Wake una nguvu waokoa Kuna Yule aliye karibu Sauti Yake yatetemesha jangwa Namfahamu Yule aliye karibu Kwa Jina lake yote yawezekana Ni Mungu ni Mungu, Eh ni Mungu Anayetenda miujiza, Eh ni Mungu Ni Mungu, ni Mungu, Eh ni Mungu Mungu Yu pamoja nasi, Eh Ni Mungu Immanueli, Yeye ni Immanueli Immanueli, Yeye ni Immanueli Mungu pamoja na sisi aah Mungu pamoja na sisi aah Mungu pamoja na sisi aah Mungu pamoja na sisi aah Hata tupitie moto hatuchomeki Nayo maji yawe mengi hayatuzamishi Vikwazo na majanga anaondoa Milima mbele zake anayeyusha Hata tupitie moto hatuchomeki Nayo maji yawe mengi hayatuzamishi Vikwazo na majanga anaondoa Milima mbele zake anayeyusha Ni Mungu ni Mungu, Eh ni Mungu Anayetenda miujiza, Eh ni Mungu Ni Mungu, ni Mungu, Eh ni Mungu Mungu Yu pamoja nasi, Eh Ni Mungu Immanueli, Yeye ni Immanueli Immanueli, Yeye ni Immanueli Mungu pamoja na sisi aah Mungu pamoja na sisi aah Mungu pamoja na sisi aah Mungu pamoja na sisi aah Imanueli, Mungu pamoja nasi Imanueli, Mungu pamoja nasi Imanueli, Mungu pamoja nasi Imanueli, Mungu pamoja nasi Imanueli, Mungu pamoja nasi