Sifa Lyrics

Sijabahatisha by Alice Kimanzi cover art

Alice Kimanzi - Sijabahatisha Lyrics

Artist:
Alice Kimanzi

Lyrics

Upendo wake ni hakika na kweli


Akipenda hawezi kuacha 


Upendo wake ni hakika na kweli


Akipenda hawezi kubwaga 


Kipi cha kututenga na Yesu


Akipenda hawezi kuacha 


Sio njaa sio shida wala dhiki


Akipenda hawezi kuacha 


Chorus:


Sijabahatisha kukutana na Baba


Anayenipenda huyo ni Mungu


Kabla sijampenda yeye alinipenda


Kabla sijazaliwa tayari alinijua


Nilipokuwa gizani yeye alinifia


Nilipokuwa mpotevu kwa upendo alinisaka


Uaminifu wake ni wa milele


Maana agano lake ladumu milele


Ukarimu wake ni wa milele


Na fadhili zake za dumu milele


Anaye ponya niye, Anaye okoa niye


Anaye huisha nasfsi yangu niye


Anaye inua niye, Anayetosha niye


Anaye ituliza dhoruba niye


Video