HATUTAOGOPA Lyrics - Neema Gospel Choir
Neema Gospel Choir swahili
Buy/Download AudioHATUTAOGOPA Lyrics
lbadilike hii nchi yote,
Itetemeke milima yote.
Mungu kwetu ni kimbilio
Hatutaogopa,
Hatutaogopa,
Mungu kwetu ni kimbilio ,
Hatutaogopa.
Mateso yaje
maji yavume,
Wafalme wote
waghadhabike.
Mungu kwetu ni ngome yetu
Hatutemeshwi.
Hatutetemeshwi,
Mungu kwetu ni ngome yetu,
Hatutetemeshwi.
Hatutaogopa,
Mungu kwetu ni kimbilio ,
Hatutaogopa.